Elimu gerezani

www.ntv.co.ke Elimu sasa ni msingi mkubwa kwa wafungwa walio magerezani. Mwaka huu, gereza lenye ulinzi mkali la Naivasha lilipata sifa kubwa baada ya mmoja wa mahabusu kupata alama ya A- katika mtihani wa kidato cha nne wa KCSE. Wahisani waliogharamia elimu ya mfungwa huyo sasa wanatumia ufanisi wake kama kigezo cha kuhimiza wenzake kujizatiti darasani.
Author: NTVKenya; Tags: Ntv Kenya elimu gerezani Prisons education naivasha maximum prison facility prisoners A-


















